|
zaheeryusuf
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
|
|
busweru sekondary
Satellite Provider
|
|
|
mwanakombo
Arusha, Tanzania, United Republic of
|
Jamani shule za kata zinatutisha kabisa!!!!! tunashindwa kuelewa ni kwa ajili ya kuwafanya watoto wasogeze kidogo umri ili waolewe na kuoa au wanatafuta Elimu? Mtanzania ninaeipenda nchi yangu nashauri itafutwe njia ya kuzikomboa aibu au ndio mgomo wa kisirisiri wa Walimu wa shule za serikali, lichunguzwe hili AIBU hata kwa walimu inakuwaje Mwl wanafunzi wako wanafeli kupita kiasi ukiwa ni Mtanzania mwenzao tena mzazi unajiskiaje? Jamani kama mnagoma kihivyo tunaomba msamaha mnaua watoto! CHONDE.
|
|
mwanakombo
Arusha, Tanzania, United Republic of
|
Ni kweli kwamba ufaulu umeongezeka mwaka 2011 lakini mbona shule za Kata umeshuka kulikoni hakuna walimu au ndo mgomo wa kisirisiri wa walimu, jamani tunakatishwa tamaa.
|
|
Arnold makimi
Satellite Provider
|
Hivi ni kwann matu wanafeli hv.mh hali ni mbaya tz
|
|
John
Satellite Provider
|
. . Hata nawe n msenge kwasababu uliandka pumba
|
|
boniface john mwita
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
naomba kupata matokeo ya kuchaguliwa kwa shule kidato cha tano 2012
|
|
Fadhili bruno
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
|
|
|
next levo
Satellite Provider
|
asanteni watendaji wa baraza la mitihani necta 2meona matokeo yetu lkn 2nawaomba mwaka ujao mujitahidi kwn wfunz 2nafeli weng
|
|
Bisya
Satellite Provider
|
Ukishafahamu matokeo yako unakubaliana nayo then unajipanga na life linasonga.
|
|
JAMES JOSEPH JAMES
Arusha, Tanzania, United Republic of
|
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YANAZIDI KUWA MABAYA KUTOKANA NA MGOMO BARIDI YA WALIMU .WAKIGOMA KUDAI HAKI ZAO WANATISHIWA AMANI SASA HAWAFUNDISHI WANAFUNZI HAWAANDALIWI VIZURI KWA AJILI YA MITIHANI HIYO. MWALIMU ANAKAA KILOMITA KUMI HADI KUMI NA TANO UNAFIKIRI ATAFIKA KWA BAISKELI YAKE MBOVU NA JASHO JUMLISHA UCHOVU WOTE HUO AKAFUNDISHA VIZURI? SASA SERIKALI SHUILE ZA KATA NYINGI KAM SIAFA ZA MPUMBAVU LAKINI HAZINA SABABU ZA KUITWA SHULE. WANAFUNZI NI WENGI WALIMU WAWILI JE HAO WANAFUNZI WATAFAULU/?JAMANI MITIHANI HAINA MIUJIZA ILA MIUJIZA NI MATOKEO MAZURI. HIVYO THE PROBLEM IS THE THE LUCKY GOVERNMENT IN PERSONAL INTEREST BUT NOT FOR THE PUBLIC.WIZARA PIA ZINA WATU VICHWA CHINI MIGUU JUU . KAMA MTU ALIYESOMEA MAMBO YA KILIMO ANAWEKWA KWENYE WIZARA YA ELIMU ATASAIDIA NINI? WENU WATOTO NG'AMBO WETU ZERO AH!
|
|
musa
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
nahitaji matokeo ya kidato cha nne mwaka 2011
|
|
FELISTER
Tanzania, United Republic of
|
Nataka kujua matokeo ya st ann marie academy 2011
|
|
Innocent malaki
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Hakunagaaaaaaaaaaaaaaa...
|
|
Nuru ibrahim
Satellite Provider
|
Watoto wameharbu jaman!muwape mbinu mbadala walimu ili kiwango kipande
|
|
Mzoga dee
Satellite Provider
|
|
|
Iddy
Satellite Provider
|
matokeo yalikua mabaya mno!
|
|
Nurdin wa Bbt
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Hasani Athumani wrote: Jamani baraza 2naomba hayo matokeo kwani wazazi wame2choka mahome. sasa vp umepita au ni bwembwe 2zisizo na akili yapp pumbavu
|
|
Nurdin wa Bbt
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
kwani ni kweli matokeo yamechelewa kutoka lakini cha mcngi kukaza na kuondo div..0 kwa shule ze2 za kata ambazo ni tatizo kumbwa sana kwenye nchi ye2 elim inazid kurudi nyuma every day 2nacho omba mabadiliko ya onekane
|
|
Nurdin wa Bbt
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Japo na mi na umiza kichwa nawaza itakua vp kwenye ye2 na jipa moyo nitashinda
|
|
Tell me when this thread is updated:
(Registration is not required)
Add to my Tracker
Send me an email
|