|
Since: Jan 12
Satellite Provider
|
Please wait...
Kwa tathimini kutoka kwa wasaishaji mitiani imesemekana kua matokeo ya kidato cha nne mwaka 2011 yata ongoza kwa kua wamefanya bidii sana juudi zimeonekana HONGERENI KIDATO CHA NNE MWAKA 2011
|
|
Mebroly brown
Satellite Provider
|
Judged:
1
Asanten!
|
|
Kelvin nyanks
Satellite Provider
|
We saidi endelea kudanganya wa2 utapigwa wwe!
|
|
Scarlet andrew
Satellite Provider
|
Jaman! Rsults lni...ili 2andae vchaka
|
|
Since: Jan 12
Satellite Provider
|
Please wait...
|
|
zam mohd
Satellite Provider
|
jamani mbona munawatia vi2mbo joto watoto naamini mitihani ishamaliza kusainishwa but mbona hamuweki matokeo bc.
|
|
zam mohd
Satellite Provider
|
jamani necta m2 hazulumiwi kutokana na haki ya m2 hailiki.kama utamdhulumu hapa duniani siku ya hukumu utamlipa haki yake.
|
|
ALLY
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
WATU WANADANGANYANA TUU WATOKEO BADO BWANA
|
|
|
ISSAH A SULEYSH
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Yaani mwatuvuruga tu vichwa matokeo gani hayo yasiyotoka hadi sasa From Pan Town
|
|
nasibu
Satellite Provider
|
jamani kwa uwezo wa allah matokeo yatakuwa madhuri mwaka huu.
|
|
Charlz juma
Satellite Provider
|
Oya kuwen cryaz matokeo c inshu za utan!
|
|
stylller
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
askum ivi kwnn hamwz kutnda haqqi? mchn ALLH (S.W)
|
|
zam mohd
Satellite Provider
|
wa2 watakufa jamani necta fanyeni mambo ya ukweli jamani 2ko icu duh
|
|
diva
Nairobi, Kenya
|
nyamani mungu ndiye muweza wa yote tumuombe atusaidie
|
|
evaresta benson
Iringa, Tanzania, United Republic of
|
Said mbona watudanganya wakati watu wengi wanasema tume haribu kupita mwaka juz tena hasa kwa somo la kiswahili zero zime jaa kwanini mnatuzungusha kama mpira wa kona?
|
|
Baraka nyella
Satellite Provider
|
Hayo matekeo baraza mnayatoa lini.?tumechoka kusubiri..
|
|
JORAM AMIRY
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Mcjali 4m 4 kwani apandaye mtama atavuna mtama Je wewe ulipanda nini?
|
|
erick matoi
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
|
|
salley
Satellite Provider
|
2nahitaji matokeo 2pate 2jielewe jamani
|
|
dula
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
jaman 2ambien hayo matokeo ni lni?maaana dah vichwa vinatuuma
|
|
Tell me when this thread is updated:
(Registration is not required)
Add to my Tracker
Send me an email
|