Yohana shombe

United States

#65 Feb 1, 2012
Jaman 2peni matokeo ya form 4
amina

Njombe, Tanzania, United Republic of

#66 Feb 2, 2012
matokeo yatatoka lini?
Young NIV

United States

#67 Feb 2, 2012
Hallo guyz out there!we ar dyin' out here waitin' 4results 2come out.do quicky plz...
Morris John

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#68 Feb 3, 2012
Matokeo hadi lini jamani ili tuwafanyie vijana wetu maandalizi ya kuendelea na masomo yao?
Morris John

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#69 Feb 3, 2012
Results!! Results!! When?? We are very eager to see them.
ied

United States

#70 Feb 4, 2012
tuzidi kuvuta subra kwa matokeo yetu mungu atatusaidia.
ied

United States

#71 Feb 4, 2012
Sio vizuri kuyachelewesha matokeo.Tunataka kuamua nini lakufanya
Ali rashid wa mtambwe

Hong Kong

#73 Feb 5, 2012
Dah necta mbona matokeo mumeyachelewesha tumechoka kuka mitani
Kilinga

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#76 Feb 5, 2012
Nauliza Watanzania tuna amani au utulivu tu?
milo xp

Europe

#78 Feb 5, 2012
mi naona twazinguana 2 kazi kurushana roho juu kwani nilini yana toka
Zuwena

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#80 Feb 6, 2012
Oya BAMITA mbona hivyo achieni vitu basi mnabaana ndo tarehe hizi
Razak Hassan

United States

#81 Feb 6, 2012
Jamaniiiii kwanini mnatufanyia hivyo? tumechoka kusubiri jaribuni kuwa na mioyo ya huruma.matokeo yanatoka liniii??
Razak Hassan

United States

#82 Feb 6, 2012
Jamaniiii tumechoka kubiri,kuweni na mioyo ya huruma,yanatoka lini matokeo?
ali

Tanzania, United Republic of

#83 Feb 6, 2012
Hivi matokeo yatarusha lini
faudhi msafiri

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#84 Feb 7, 2012
mi naona matokeo labda yameungua na moto huu si mchereo bhana.......
zahid

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#85 Feb 7, 2012
Na mmi naona hili si baradha la mitihani hii ni TUME YA UCHAGUZI
SULEIMA HAFIDH

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#86 Feb 7, 2012
NA ME PIA NAKUBALIANA NA ZAHID AU MWAKA HUU TUMEFANYA UCHAGUZI NDO MANA MUNA SITA KUTOA MATOKEO
Yassf-kondo

United States

#87 Feb 7, 2012
Necta mu0gopen allah na tambuen kua mwenye kumdhulum mtu bs ujira wake atauw0na siku ya kiama kwa hvyo tunawa0mba mutupe haki ilio thabit ili kuepukana na adhab ya allah, inshallah tunawatakia kila la kheri
Tahiyyat

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#88 Feb 8, 2012
mbona mnatangaza matokeo alaf hatuyaoni kwenye net acha ubabaishaj
Tahiyyat

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#89 Feb 8, 2012
mnachosha saana mtalipwa na mungu na dhulma zenu

Tell me when this thread is updated:

Subscribe Now Add to my Tracker

Add your comments below

Characters left: 4000

Please note by submitting this form you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Tanzania Discussions

Title Updated Last By Comments
Why ISLAM is the religion of SATAN? (Aug '10) 7 hr DavidJames618 2
Do Tanzanian women think somali men are attract... (Dec '13) 8 hr Zaniagirlie 2
Clean euro Fri Dr Abdullah saleh 1
need a girl for a serious relationship Fri linvef 3
i need a sex mate with good cash (Dec '12) Dec 15 Nayla 21
matokeo ya darasa la saba 2012 (Dec '12) Dec 15 Exavery 387
majibu ya kidato cha nne (Dec '09) Dec 13 Amos haule 78
More from around the web