Mmbaga hubert

Arusha, Tanzania, United Republic of

#1 Feb 7, 2010
Katika kuelekea uchaguzi mkuu,majungu miyengwe na kuondoa baadhi ya wanachama wa chama tawala wanaotuhumiwa kwa rushwa Je itakisafisha chama ama changa la macho?
Abu reatag

Muscat, Oman

#2 Feb 19, 2010
Siasa ya Tanzania tokea wapate Uhuru mpaka tarehe ya leo, Rushwa Haijaondoka, wa la corruption haitaondoka, na chama cha CCM Kitaendelea kutawa kwa miaka mia inayokuja,na kila siku utasikia zimeebiwa billions 200 and billions 300.
Alcado Mwaselela

Sweden

#3 Mar 5, 2010
TANZANIA nchi inayosifika kwa Amani duniani, hakuna siasa hapo na hiyo amani iliyopo ni UJINGA NA UPUMBAVU tulionao sisi ndio amani yetu na ni bora mtu usijisumbue kabisa kupiga kura, kwani kura yako haina kazi kwenye nchi hii, mara Kuna CCJ ndio nini sasa.
hubert

Arusha, Tanzania, United Republic of

#4 Mar 5, 2010
Mambo haya mazito kama ccj wanachokiita cha jamii hiki ndo chama cha wajanja zaidi,rushwa haiwezi kwisha kwani hata vyama vyenyewe ni ufisadi mtu.
Chukulia sakata la Richmond lilivyozimwa kijanja.Epa nayo usiseme maana haielezeki sasa watanzania wenzangu nauliza when will we change?and if we ccan how to do that with ccm and ccj.
Tutampata wapi nyerere mwenye uchungu na nchi yake .
Sisi vijana na wasomi ktk nchi hii tufunguke basi kuwawezesha wengine kufanya mapindizi ya kifikra dhidi ya rasilimali zetu ambazo wajanja wachache wamezifanya mali zao.\
Take good Example for Dr.John Pombe Magufuli
dula

Saint Paul, MN

#5 Mar 22, 2010
watanzania tusife moyo tujaribu kufanya mabadiliko sasa, tupige kura kwa makini usiuze kura yako kwani ni maisha yako
VYAMA VYA SIASA

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#6 Jul 20, 2010
MARANYINGI KITU CHA KUIGA HUZIDI KIWANGO CHA YULE ALIYE IGWA,, KAMA TANZANIA TUMEIGA VYAMA VYINGI, NA TUKAZIDI KIWANGO KUPITILIZA,, KUWA NA VYAMA VINGI SI MAANAYAKE VIWE 1000, LA HASHA, HATA VUTATU NI VYAMA VINGI,, HUU MFUMO WA KURUHUSU WATU KUJIANZISHIA VYAMA VYAO WAKATI HAWANA FUND YA KUTOSHA UPIGWE VITA, MAANA WANANCHI HAWAJUI WAMWAMINI NANI, NA HATA HIVYO VYAMA VISIVYO NA NGUVU, SI VIKUSANYWE VITANOVITANO VIUNGANISHWE KIWE KIMOJA?
MUNANG'ANG'ANIA KITU AMBACHO HAKIKO KATIKA UWEZO WENU KWANINI? CCJ WATU WALIANZA KWA MBWEMBWE LEO KIPO PENDING...
TANZANIA BWANA SISI SOTE WAPUUZI TU...
GEORGE MATHIAS MAKOJA

Satellite Provider

#7 Aug 18, 2010
KILA KITU KINA PANDE MBILI YAANI FAIDA NA HASARA,HIVYO MTU MWENYEWE HUAMUA NI UPANDE GANI KITU ALICHO NACHO KIANGUKIE.MFUMO WA VYAMA VINGI KTK TANZANIA NI JAMBO ZURI LAKINI TUSIPOKUWA MAKINI UTATUPELEKA PABAYA.ITIKADI ZA VYAMA LEO VIMEGEUKA KUWA VYANZO VYA MIGOGORO NCHINI.LAKIN HATUSHANGAI MAANA PLATO ALISEMA"POLITICS IS HYPOCRICY"
VYAMA VINGI NA VIWE CHACHU YA MAENDELEO NA SI MWANZO WA VURUGU KTK NCHI YETU.BABA WA TAIFA ALITOA JASHO KWA AJILI YA UHURU WA INCHI HII ,MSIICHEZEE OVYO NA KUIFANYA KICHAKA CHA KUJIFICHA WATENDA MAOVU.
MAKOJA ONCE SAID "NO ONE IS BEYOND INTERPRETATION"
faridah mvungi

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#8 Sep 8, 2010
ujinga hautakoma katika nchi hii(tanzania)hadi macho yetu yatakapofunguka, tulishatawaliwa kifka hivyo kuukwepa ujinga ni vigumu...lakini twendeni tu naamini kila kitu kina mwisho wake.TUTAYASULUHISHA!!!...

Tell me when this thread is updated:

Subscribe Now Add to my Tracker

Add your comments below

Characters left: 4000

Please note by submitting this form you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Tanzania Discussions

Title Updated Last By Comments
Jamii Forum is too Pro CHADEMA (Jun '12) Thu MINYALI NGOGIRU 162
It's Been A Hard Road To 12 Step For Zanzibar's... Jan 28 Southern Ohio wac... 1
Tanzania: Energy Minister Resigns Over Escrow A... Jan 26 rajabuu 1
matokeo kidato cha pili 2014:ng;ombe sanzu angara (Jan '14) Jan 26 Ozunu 21
matokeo (Jan '13) Jan 25 Mwanaamisi juma 7
ilvove her Jan 25 leluu 1
haya hapa matokeo kidato cha pili 2014 ufaulu w... Jan 24 abrahman abdallah... 6
More from around the web