|
hemedy ituja
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Judged:
1
kwanza poleni na kazi nauliza matokeo ya form two yanatoka lini mbona yanachelewa hivyo na naomba mtupatie websites za uhakika za kupata matokeo.
|
|
ISSA MUSTAPHA
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Website yenu ikopoa kimuonekano ilaka haiko wazi sana kutulahisishia sisi tusio weza kuperuz sana,kama kujua ni jinsigani nitapata kuona matokeo ya kidato cha pili na yale ya miaka ya nyuma.
|
|
issa mwilima
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Judged:
1
hey jamani tumechoka kusubiri matokeo yatoeni basi maana mwaka 2008 umeingia na shule zina funguliwa
|
|
peter j akyoo
Lithuania
|
Judged:
1
mimi peter joseph tunawapa pole baraza la mitiani tunaona kazi imewashinda mpaka leo matokeo mbado
|
|
daniel temba
Tanzania, United Republic of
|
am reasking on when exactly form two natonal exam result will be out.and which web are we supposed to get them after being out,plz!!!
|
|
jane
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
mbona matokeo ya form two sijayaona kwenye mtandao.hebu basi mnielekeze niangalie website gani ili nifanikiwe.
|
|
Bahini Deus
South Africa
|
Bado sana Necta, mnatakiwa muende na wakati kila kitu kinachohusu elimu tunategemea kukipata kwenye mtandao wenu na hasa matokeo ya aina zote, kuanzia shule za msingi, form II, form IV, Six na Vyuo vyote TZ. Na tuwe na uwezo wa kutafuta matokeo yoyote miaka ya nyuma n.k. bado manachangamoto nyingi sana.
|
|
azizo
Iringa, Tanzania, United Republic of
|
POLENI NA KAZI BARAZA LA MITIHANI. vipi matokeo ya form two yatatoka lini katika website yenu. Tunaomba myatangaze.
|
|
|
azizo
Iringa, Tanzania, United Republic of
|
Bado sana Necta, mnatakiwa muende na wakati kila kitu kinachohusu elimu tunategemea kukipata kwenye mtandao wenu na hasa matokeo ya aina zote, kuanzia shule za msingi, form II, form IV, Six na Vyuo vyote TZ. Na tuwe na uwezo wa kutafuta matokeo yoyote miaka ya nyuma n.k. bado manachangamoto nyingi sana.
|
|
azizo
Iringa, Tanzania, United Republic of
|
vipi matokeo ya form two yatatoka lini katika website yenu. Tunaomba myatangaze basi matumbo joto watoto wenu.
|
|
Kajukano Derick
Satellite Provider
|
Napongeza jitihada zote zinazofanywa na baraza la mitihani katika kuhakikisha mitihani inafanyika na matokeo kuwa ya haki pamoja na idadi ya wanafunzi kuwa wengi. Kwa kweli ingependeza zaidi endapo matokeo na maelezo zaidi yangekuwa yanawekwa katika tovuti wakati muafaka, yani pale tu yanapotolewa. Hii itadhihilisha ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya inayo sisitizwa nchini. Isitoshe, ulimwengu mzima sasa unabadilika na karibu kila kitu kinafanywa kupitia mitandao.
|
|
Isaya Yonamu Ngao
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
I suggest that the results are aired the sooner after they are ready.We who live in London and have schooling youngs in our home country would like to access the results through Internet. Please be sharp, this is another world! match other wise you will be left behind
|
|
tom
Iringa, Tanzania, United Republic of
|
Matokeo ya kidato cha pili mbona hatuyaoni ya mwaka 2007
|
|
Chriss
Tanzania, United Republic of
|
Judged:
1
tunataka kuona na ya darasa la saba, huu ni utandawazi bwana... serikali iache ubabaisahaji.
|
|
shafiq
Satellite Provider
|
Judged:
1
hey when are you going to show us the form 2 results
|
|
Hassan Twaha
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
matokeo ya form two yashatoka zamani gani unalala sana
|
|
kenny
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Dah! we would really lyk 2 c form 2 necta results out y r u delayn' on us!!!!!!
|
|
zainab
Tanzania, United Republic of
|
hey,whn r u goin to show us form2 results,our skulz r opening,plz make it fast
|
|
Maria Senguo
Dodoma, Tanzania, United Republic of
|
Baraza la mitihani, kama nguvu ni ndogo tuiteni tuwasaidie kuchapa. watu waende na wakati eti. vp matokeo ya frm Two!!!!
|
|
Gratia John
Tanzania, United Republic of
|
hallo!where are the form 2 results.plz show us fast.our shoolz are opening.why are you still delaying.are you sleeping.plz go with the generation or you wil be left behind.guys
|
|
Tell me when this thread is updated:
(Registration is not required)
Add to my Tracker
Send me an email
|