Local News: Tanzania 

 | 

Sign Up

 | 

Sign In

National Form Four Exam results out

Posted in the Tanzania Forum

Comments (Page 27)

Showing posts 521 - 540 of542
|
Go to last post| Jump to page:
barack

Arusha, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#546
Apr 6, 2009
 
alafu isitoshe wanataka wanababaisha kutoa results
Nailah Edha

Zanzibar, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#547
Apr 16, 2009
 
nataka kujuwa majibu ya dadangu Gamar yanapatikana
wapi?
jimmy

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#548
Apr 20, 2009
 
matokeo ya form six 2009,yanatoka lini jamani?
THIRDRICK PETER

Satellite Provider

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#549
Apr 29, 2009
 
EBWA ACHENI HIVYO BWANA WAHUSIKA ME NAOMBA MNITUMIE MATOKEO YA MWAKA 2006
Amina

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#550
May 1, 2009
 
Baraza sasa mnaonekana mnakimbia wakati wadau wenu mnawaacha nyuma. Mtoa tangazo la kujisajili mtihani wa kidato cha nne 2009 kupitia mtandao, kisha fomu hiyo ipelekwe kusainiwa na Mkuu wa Kituo cha Mtihani na kwenda kulipia Posta. Vipi Nimekwenda posta wamekataa kupokea fomu yangu eti hawajapewa maelekezo ya kupokea fomu za usajili wa mtandaoni? Imekuwaje mtoe maagizo kwa watahiniwa lakini Posta msiwajulishe? Je huu si usumbufu. Hivi wasomi wa Tanzania watasumbuliwa mpaka lini? Kuweni wastaarabu fanyeni mambo yenu kwa utaratibu mzuri si hivi mvanyavyo sasa. Tumechoka sasa tunamwachia Mungu ndiye atakaye hukumu. Tena Ufisadi ulioufanya kwa watu waliomba rufaa na kuwarudishia matokeo yale yale mana yake mlichotaka kimetimia Lakini jueni ubaya huo Mungu ndiye anajua na atajidhihirisha kwenu.
Mkaro fredy
|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#551
May 1, 2009
 
Necta kwanini website yenu ya matokeo haifunguki? Necta be serious
ahmed omary mahsen

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#552
May 5, 2009
 
naomba namba yangu ya mtihani kidato cha nne mwaka 2006,shule ya sekondari kiwanja cha ndege
imani secondary school

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#553
May 6, 2009
 
form four results
hamida

New Delhi, India

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#554
May 7, 2009
 
nahitaji kupata matokeo ya form four 2008 kwa majina.nifanye nini?
marco j ngongwa

Satellite Provider

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#555
Jun 9, 2009
 
naomba matokeo ya denis john ya 2003 ni mdogo wangu sjawahi kuyaona
marco j ngongwa

Satellite Provider

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#556
Jun 9, 2009
 

Judged:

1

naomba matokeo ya 2003 ya denis john sijayaona mimi ni mkubwa wake
johnmusiba

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#557
Jul 2, 2009
 
baraza la mitihani jaribuni kwenda na wakati
johnmusiba

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#558
Jul 2, 2009
 
maana tunataka kuona matokeo ya miaka ya nyuma hatuyapati
RICHARD MALLEY

UK

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#559
Jul 9, 2009
 
nawashauri necta wajitahidi kutunga mitihani kulingana na topics sio mambo mengine tunasoma tu alafu hayatoki!!!!!!!!!!iinamaana tunayasomea nini?,siyafutwe tu!!!!!!!!
Far king

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#560
Jul 12, 2009
 
hongereni sana necta kwa usumbufu na kutoheshimu katiba na sheria ya nchi kwa kuwa ninyi ndio marais wa taifa hili sasa hayo matokeo yetu ya form four mwaka 2006 mmeyaweka urembo kwenu na kwa ajili ya watoto zenu(Ufisadi Unawasumbua Tu)Tumechoooka Kuwavumilia kama hamtaki tuambieni tu kuliko kutufanya watumwa wa haki zetu!!!
husna

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#561
Aug 14, 2009
 
naomba nifahamisheni matokeo ya kidato cha pili mwaka 2004
conture

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#563
Sep 8, 2009
 
kwa nini mnakuwa na habari za uongo kama mshino
conture

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#564
Sep 8, 2009
 
msiwe na habari za uongo kama mshino wa mkuma
ERICK
|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#565
Nov 3, 2009
 
Nataka kuona matokeo ya kidato cha nne mwaka 2003 shule ya milambo je nifanyeje?
ERICK
|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#566
Nov 3, 2009
 
Nataka kujua matokeo ya kidato cha nne mwaka 2003 milambo sec school nifanyeje?
Tell me when this thread is updated!
(registration is not required)
Showing posts 521 - 540 of542
|
Go to last post| Jump to page:
Type in your comments to post to the forum
Name
(appears on your post)
Comments
Type the numbers you see in the image on the right:

Please note by clicking on "Post Comment" you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Install the Topix Community Toolbar

Never miss another reply to your comments, no matter where you are on the web.

Daily Horoscope for December 7

Pisces

A powerful sense of adventure sweeps over you today, making you eager to rise to challenges and to pick up the gauntlet that life throws at your feet. There will be a certain amount of daring and courage in all this, and you might even surprise yourself by getting involved in situations that would normally send you running in the opposite direction.

Get your Horoscope »