Comments (Page 2)
|
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of |
Mabadiliko yanafanyika polepole sana. Website yenu haionyeshi matokeo ya miaka ya nyuma, pia takwimu za ubora wa mashule zinapaswa kuwekwa kwenye tovuti. Mbona mnalala sana nyie!amkeni na fanyeni kazi kwa bidii.
|
|
Tanzania, United Republic of |
jamani haya matokeo mpaka tuandamane ndio mtayatangaza au ndio nini. yawekeni hewani watu wayalilie
|
|
Tanzania, United Republic of |
vip na matokeo ya form 6 mpaka lini mama6 yatangaze kama yapo tayari wanao matumbo joto
|
|
Tanzania, United Republic of |
jamani tokeo ndo ugonjwa watu tunayasubiri kwa masikitiko yatangazeni
|
|
London, UK |
hey wafanyakazi wa necta yatangazeni basi matokeo yetu,mbona mnayabania watu matumbo joto mtaani huku tuliko,lakini pole na kazi mnayoifanya kila siku.
|
|
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of |
habari zenu wafanyakazi wote wa necta,mbona sijaona matokeo ya kidato cha sita kwenye mtandao
|
|
Wow!
Ministry of Education people - work up. Children are getting ahead of you technologically. If you do not work up, they will fire you. Tanzania |
|
|
Matokeo ya form six tunataka nayo tuyaone kwenye mtandao mapema iwezekanavyo.
|
|
| |
|
Arusha, Tanzania, United Republic of |
Wats there coz am not scanning ma results and am 2worried with them??????????
|
|
Jamaniiiiiii baraza la mitihani tabia ya kufuta majibu ya wanafunzi hayufagilii wanafunzi
|
|
|
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of |
mnatuchanganya na hayo matokeo maana mnayaweka kwa kutuchanganya sana
|
|
Mwanza, Tanzania, United Republic of |
tutumie website ya kuomba majibu yakitoka kwenye net sunrise sec school mwz
|
|
London, UK |
najua hii website ni ya kurepresent taifa duniani.mimi niniona kama hamwezi kuoperate vizuri naomba mwuifunge because its just crap!!mnajiaibisha tu.mimi niko uingereza nataka kuona matokeo sioni!!what is point kuandika ni website ya kuonyesha matokeo?
|
|
Arusha, Tanzania, United Republic of |
website ya matokeo ni ipi
|
|
Warsaw, Poland |
Muwe munawaisha kutoa matokeo ya form four
kwenye internet websites zenu na ziwe zenye kueleweka. |
|
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of |
Judged: 1 |
|
UK |
please guys hae allok at this wesite and feel free to comment and make us of it.
http://kaamasaa.com/index.php |
|
Tanzania, United Republic of |
tunaomba muweke wazi majina ya watahiniwa ili tuweze kuelewa kwani namba hatuzielewi.
|
|
Tanzania, United Republic of |
tunaomba muweke wazi majina ya watahiniwa, namba hatuzielewi, pia tunaomba yawekwe kwa muda muafaka.
|
|
Tanzania, United Republic of |
POLENI NA KAZI BARAZA LA MITIHANI.
vipi matokeo ya form two yatatoka lini katika website yenu. Tunaomba myatangaze basi matumbo joto watoto wenu. |
|
Tell me when this thread is updated: |
|
Please note by clicking on "Post Comment" you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.
| Topic | Updated | Last By | Comments |
|---|---|---|---|
| matokeo ya kidato cha nne majengo sekondari (Feb '10) | 6 hr | james | 8 |
|
|
8 hr | busweru sekondary | 622 |
| matokeo ya mwaka 2011 (Jan '11) | 13 hr | DAVIS | 54 |
| Matokeo kidato cha nne 2010 (Jan '11) | 14 hr | jako | 75 |
| Matokeo kidato cha Nne 2011 | 16 hr | Sospeter m luyega | 8 |
|
|
16 hr | Joyce Msafiri | 263 |
| Matokeo kidato cha nne mwaka 2000 (Jan '11) | 18 hr | christina | 34 |