|
Subira
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Judged:
1
Mbona hatuyaoni majibu ya mitihani ya darasa la kumina mbili tutasachi mpaka lini jamani kwenye mitandao? maana tunahitaji tuwaandae watoto mapema
|
|
Subira
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
watu wanalalamika wanasema majibu hayaonekani kwenye mitandao ili watu waone wayatafute majibu kwenye simu ili wapate hela je ?ni kweli?
|
|
NEEMA
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
HATA MIMI INANIKERA SANA HII YA KUTAFUTA MAJIBU YA FM 4
|
|
NEEMA
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiii majibu yapo wapi??????????
|
|
FETTY
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Its not good at all,we are having our relatives an' friends to look 4
|
|
kakaza
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Tunategemea Tanzania Technologia itaanzia kwenye mawizara hasa kama yenu. sasa inakuwaje? Tafadhali tunahitaji kujua mapema tufanye maandalizi mapema
|
|
JUCQUELLINE G
Satellite Provider
|
THANKS ALOT THE GOVERNMENT OF TANZANIA FOR THE NATIONAL EXAMS RESULTS ARE OUT NOW.
|
|
Peter bundala
Arusha, Tanzania, United Republic of
|
Tunaomba matokeo muyaweke wazi .tutasachi mpaka lini???????
|
|
|
|
alphonce
|
It is good. Keep it up
|
|
A P NDOWO
|
Thanks to those whom it is concerned.Well the release of result over the Internet is a GOOD THING,BUT the system of NAMING the candidates is NOT impressing at all.It does NOT comunicate well.PLEASE MAY IT BE CHANGED. THANKS
|
|
CHABU
|
THANKS FOR THE RESULTS.BADILISHENI UTARATIBU WA KUANDIKA MAJINA YA WATAHINIWA.
|
|
MNT
|
THANKS FOR THE RESULTS.BADILISHENI UTARATIBU WA KUANDIKA MAJINA YA WATAHINIWA.HATUWEZI KUYASOMA
|
|
kizzo
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
mbona mnatusahau majibu ya form 2 mwaka jana kwenye internet mana watu wanatudanganya sana wastani wao tunataka kuwasoma msema kweli
|
|
HADIJA ALLY
Arusha, Tanzania, United Republic of
|
HAYO MAJIBU TUYATAFUTE WAPI??????????
|
|
samson
Tanga, Tanzania, United Republic of
|
HIVI NI NINI??? UMESHAPATA MATOKEO YA 4M 4 NA UMEFAULU .THE PROBLEM IS LOCATION SO HOW DO WE KNOW OUR NEW EDUCATION CENTRE IF 'NECTA'YOU'VE DECIDE NOT FEED IN COMPUTER???????
|
|
muosaa
Arusha, Tanzania, United Republic of
|
majibu ako wapi
|
|
ARUSHI PIUS
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Matokeo ya form four wliochaguliwa kutoka Maramba sekondary mbona hatuyaoni yamechapishwa?
|
|
Asa kitalima
Zanzibar, Tanzania, United Republic of
|
Kwanza muwe mnatuwekea wazi njia jinsi ya kupata matokeo kwa sababu njia zenu zinachanganya watu wengi.Pili matokeo yatolewe siku maalum ambayo hata mwananchi wa kawaida anaweza kuyajua.pia ningependa kushauri serikari kutoa hamasa jasa kwa vijana watanzania kuhusu kusoma.
|
|
Niwaely Ombeni
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Jamani tunaomba uwekwe utaratibu wa kutafuta matokeo kiurahisi maana tumechoka hatuoni matoke ya miaka ya nyumba usaidiwe kwa hilo Please.
Tanzania
|
|
Leonia Mgallah
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Naomba mtufumbue kuhusu swala la kutafuta matokeo hili maana linatatanisha sana yaani hatuwezi kuona matokeo ya miaka iliyopita. tunasumbuka sana kupata matokeo ya form four.
Mtanzania
|