matokeo ya form 4, 2011 yatatoka lini?

Posted in the Tanzania Forum

First Prev
of 9
Next Last
JOHN ROBERT

United States

#1 Nov 12, 2011
watungaji wa mitihani wanatakiwa kutunga mitihani inayoendana na uelewa wa wanafunzi na sio kuwakomesha.
Charlschillengas

Europe

#2 Nov 14, 2011
Result lin,off coz tumechoshwa ▀hana....ln xaxa?
Jaffar mukono

Europe

#3 Nov 16, 2011
Jamani tunawaombeni umakini katika utungaji wenu wa mitihan coz mitihani mnayo tunga ni tofauti ufaham wa wanafunz pls report hz msipuuze..
natty mussah

United States

#4 Nov 23, 2011
Tunasubiria matokeo yetu maana hamjatwambia siku specific ambayo yatatoka wish u usahihishaji mwema !
upendo

Tanzania, United Republic of

#5 Dec 10, 2011
jamani cna neno mkono wa MUNGU 2 ndo uwatangulir wasahihishaji.. eeeh MUNGU 2saidie yaliyotokea mwaka jana yasitokee tena mwaka huu
Jumbe miraji

Europe

#6 Dec 10, 2011
Jamani geophysics imeuwa kwenye theory
Mabula mathew

United States

#7 Dec 14, 2011
Tunaombe umakini katika usahishaji wamitihani jamani msituonee!
Barracker kambi

United States

#8 Dec 26, 2011
Haya matokeo yanatoka lini?
rick

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#9 Dec 27, 2011
da 2 naomba mtuone uruma jamani sisi watoto wa wezenu usipende kutenda usicho penda kutendewa da msaishe vizur
Jose

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#10 Dec 27, 2011
Jaman wasaishaj 2nawaomba muwe makin kwenye kusahisha mitihani ya kidato cha nne coz isije kuwa kama mwaka jana kuweni makini jamani....
abdullatif

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#11 Dec 28, 2011
msitukomoe wanafunzi kwani kufanikiwa sisi pia ni mafanikio yenu nyinyi
Sharmila Al-busaid

United States

#12 Dec 31, 2011
What's necta? Hw ab0ut 0ur results? C0z 2mech0ka kusubiri acheni ku2tia vi2mb0 j0t0 km vp c m2pe 2 hz cret ze2!!
MAPALALA MAGAMBO R CHUGA

United States

#13 Jan 3, 2012
JAMANI MSAHIHISHE VIZURI MAANA HAYO NDO MAISHA YETU COZ 4M 4 NI CHANZO CHA KUELIMINET POVET NA NDO CHANZO CHA UMASIKIN OK.BIG UP TO ALL 4M 4 LIVERS & ALL STUDENT MAY GOD BLESS ALL WASAHIHISHAJI WOTE.OLTINGA MOJA AU SIYO MAZEE
Mkuuuuuuuuuuuuuu u

United States

#14 Jan 3, 2012
Jaman tuoneeni huruma tunataka kuendelea kusoma jaman necta tunakuombeni
erick swai

Europe

#15 Jan 3, 2012
jamani hivi haya matokeo yatatoka lini?coz hatuelewi kingine tungependa kuona/kuonyeshwa takwimu ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano,waliochaguliwa vyuoni,pia kwa wasio chagualiwa!!
KOMBO MSHAMU

Oslo, Norway

#16 Jan 4, 2012
jamani 4m 4 msiwe na pupa na mitihani,subira yavuta kheri ni vema mkaendelea kusubiri ,1 day will be okey. wish u 9c results
Ruth G

United States

#17 Jan 4, 2012
Mungu akusaidie mdogo wangu cuz hakuna kivuko kigumu kama 4m 4!
didah56

United States

#18 Jan 4, 2012
jaman matokeo yatatoka lini,nimefkia kuyaota necta 2toeni waswas mana hki n kipndi kgumu kuliko cha kufanya exams.uraiyan kunachosha!
MICHAEL SEMUYANGO

Mwanza, Tanzania, United Republic of

#19 Jan 5, 2012
JAMAANI TUMECHOKA KUSUBILI HIZO RESULTS ZA FM4
MICHAEL SEMUYANGO

Mwanza, Tanzania, United Republic of

#20 Jan 5, 2012
jamani 2nataka matokeo 2.....

Tell me when this thread is updated:

Subscribe Now Add to my Tracker
First Prev
of 9
Next Last

Add your comments below

Characters left: 4000

Please note by submitting this form you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Tanzania Discussions

Title Updated Last By Comments
i need a sex mate with good cash (Dec '12) Dec 15 Nayla 21
matokeo ya darasa la saba 2012 (Dec '12) Dec 15 Exavery 387
majibu ya kidato cha nne (Dec '09) Dec 13 Amos haule 78
Why do Tanzanians like to talk bad about Kenyans (Aug '10) Dec 12 Keep calm 11
Tanzanias first ever social site (Oct '07) Dec 8 Grand Lodge 12
need a girl for a serious relationship Dec 6 tarimo 2
Nairobi love Dec 6 Tycoons love 2
More from around the web