Matokeo kidato cha nne 2012

Posted in the Tanzania Forum

First Prev
of 3
Next Last
ihm

Tanzania, United Republic of

#1 Feb 11, 2013
Inasikitisha hadi sasa matokeo hayatoki,au kutonyesha mvua za masika kumechangia?Twendeni kwenye nyumba za ibada tukaombe kwa pamoja
Richie Okech

Ashburn, VA

#2 Feb 12, 2013
mbona atuon matokeo?
Hasani muhidini

Ashburn, VA

#4 Feb 12, 2013
Kwann hataki kuyachia tujue tulichokifanya mapema ili tujipange na mengine!
Katemba

Ashburn, VA

#5 Feb 12, 2013
Msihofu matokeo yatatoka tu
Ndammu

Ashburn, VA

#6 Feb 12, 2013
jamani kweli mnatueka matokeo nilini tunaka matokeo yetu au mnafoji matokeo.
Edu

Ashburn, VA

#7 Feb 13, 2013
jaman achieni hayo matokeo watu wanataka wafanye mipango yao.
Edward athanas mbogo

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#8 Feb 13, 2013
Matokeo yange wahi ili wazazi wajiandae mapema jaman
Materu

Ashburn, VA

#9 Feb 13, 2013
Kwan wizara ya elimu hawakutambua kwamba tunayahitaji hayo matokea
tumekata tamaa sisi
Ddd

Ashburn, VA

#10 Feb 14, 2013
Mbona kimya tu matokeo kidato cha nne 2012
Juma

Ashburn, VA

#11 Feb 14, 2013
Yatatoka lini
john paul

Ashburn, VA

#12 Feb 14, 2013
eeee bana eeee mturushie matokeo yetu
AARON MPENZWA

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#13 Feb 14, 2013
mi nadhani necta utawala hawako sawasawa kiutendaji, maana technology iliyopo miaka hii si yakukawiza matokeo namna hiyo, au bado mko kwenye mfumo wa digital? maana hawaeleweki necta.
pacow

Europe

#14 Feb 15, 2013
n wizara ya elimu hawakutambua
kwamba tunayahitaji hayo matokea
tumekata tamaa sisi
Report this post
Ddd | Thursday
Mbona kimya tu matokeo ki
ezekiel swai

Europe

#15 Feb 16, 2013
tunaomba mtupe uhakika matokeo ya form 4 yanatoka ln coz tumechoka kukaa nyumbani...@4050
Zaka pinyo

United States

#16 Feb 16, 2013
Matokeo mnapga nayo picha nn?
Joel Ntukula

Ashburn, VA

#17 Feb 16, 2013
2peni che2 2xsepe
sadiki

Ashburn, VA

#18 Feb 17, 2013
watokeo vipi jamani tuambieni tu hatakama ni mabaya
Kazi isack

Ashburn, VA

#19 Feb 17, 2013
Tulien vijana mwisho wa mwez huu yatatoka tu dönt pernic.
marina

Tanzania, United Republic of

#20 Feb 17, 2013
me nhc waendelee kuyazuia mana 2nawaona wanayatendea yao na pengne wanahc ni m0ja kati ya ony0 la ukopiaj kumbe ndo ujinga wa utendaj
Khery Hassan

Tanzania, United Republic of

#21 Feb 17, 2013
kwel NECTA n noma, unardhka kukaa nayo nn... Yaleten bhana km 2meharbu 2jue...

Tell me when this thread is updated:

Subscribe Now Add to my Tracker
First Prev
of 3
Next Last

Add your comments below

Characters left: 4000

Please note by submitting this form you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Tanzania Discussions

Title Updated Last By Comments
Tanzania: Energy Minister Resigns Over Escrow A... 19 hr rajabuu 1
matokeo kidato cha pili 2014:ng;ombe sanzu angara (Jan '14) Mon Ozunu 21
matokeo (Jan '13) Sun Mwanaamisi juma 7
ilvove her Jan 25 leluu 1
haya hapa matokeo kidato cha pili 2014 ufaulu w... Jan 24 abrahman abdallah... 6
matokeo ya kidato cha pili 2014 st.aggrey secon... (Jan '14) Jan 23 agnetha 27
Uhamisho kwa Watumishi wa Mamlaka za Serikali z... Jan 22 Blogger boy 1
More from around the web