|
yusuph kionga
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
tufanyien haraka tupunguze presha tulizonazo
|
|
happy mmasai
Tanzania, United Republic of
|
Jaman yanatoka lin hayo matokeo? Mana wenzet washaanza.
|
|
Othmanhjailani
Tanzania, United Republic of
|
|
|
Othmanhjailani
Tanzania, United Republic of
|
Tutoleematokeoyetutupunguzepre sha
|
|
Anonymous
Mountain View, CA
|
|
|
kelvin christopher
Santa Clara, CA
|
necta tunaomba msituchakachue,watu presha inapanda presha inashuka.
|
|
Fatina Abdul
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
mbona hatuoni huo ukurasa wa matokeo?
|
|
Maryam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Oyaaaaaaaaaaa mbona mna2zingua 2nataka tujue matoke yametoka au mnatuchora 2
|
|
|
|
Esther samson
Tanzania, United Republic of
|
Mbona mnatuchelewesha,tumechoka kusubiri
|
|
Esther samson
Tanzania, United Republic of
|
|
|
JOSE JOHN
Mountain View, CA
|
Oya necta vp au mna2chakachua tumeni baci hiyo page tuone hizo one ze2!
|
|
Pembe Jeverino
Santa Clara, CA
|
Kwa matokeo haya mabaya,Taifa linaandaa ma-houseboi na house girl,failures ni wengi sana!
|
|
DICKY MWAGIKE HALAL ILEMB
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Oyaa Necta vp mbona ukurasa wa matokeo hauonekan achien huo ukurasa
|
|
mtazania halisi
Tanzania, United Republic of
|
jaman tunawaomba usahaishaj mzuri na wale waliokosea kuandika namba sahihi ya swali alilofanya naomba muwaonee huruma nazi tunaitaji kujiunga na chuo kikuu.form six mungu atubariki wote tupate principle.mungu awabarik wasahaishaj wafanya kaz bila kuchoka na kwa uaminifu.emzmosh
|
|
Mtukunywa
Tanzania, United Republic of
|
Jamani tunaomba kama mshaishatunahitajimatokeoyetu
|
|
Mtukunywa
Tanzania, United Republic of
|
Mnatukandamiza wazenji bwanaa
|
|
Mzanzibarian
Tanzania, United Republic of
|
Daaa!jamani noma tathmini mbonainatisha tuleteen hivohivo
|
|
Salha mkeleka
Tanzania, United Republic of
|
|
|
revocatus
Europe
|
jamani matokeo ya ualimu lini tumechoka huku mtaan tunateseka mbona ualimu umekuwa mgumu hv
|
|
Yassaf kondo
United States
|
Tunawatakia usahihishaj mwema Allah awape imani inshallah
|
|
Tell me when this thread is updated:
(Registration is not required)
Add to my Tracker
Send me an email
|