|
aziza seif
UK
|
Judged:
1
Jamani matokeo lini tushachoka kusubiri huku tunataka tujue moja
|
|
tabasam
UK
|
Mimi nataka kujua matokeo yatatoka lini naje vp nitaweza kuyapata kwenye computer yangu na yatakaa kwa muda gani kwasababu tunataka tujue nini cha kufanya
|
|
GILBERT ROBERT
Satellite Provider
|
Please show me my form four NECTA results 2011
|
|
Deogratius chaula
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
necta iyo siyo ishu fanyeni basi tujue hatma yetu
|
|
Alex Bayona
Satellite Provider
|
|
|
kijombile
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
mnazingua ncta matokeo yako wapi?
|
|
kijombile
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
yako sehemu gani watu twayatafuta.
|
|
Godfrey
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
Please naomba baraza la mitihani muwe fair katika kutoa information halisi kuhusu tarehe halisi ya matokeo mnawatesa wanafunzi..
|
|
|
TEDDY TEMU
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
JAMANI HAYO MATOKEO YA FORM FOUR YAPO TOVUTI GANI?
|
|
OLE MOLLEL LIKINJIYE
Iringa, Tanzania, United Republic of
|
MATOKEO YA FORM FOUR HAYO JAMANI ILA SHULE ZA SERIKALI ZAZIDI KUBURUTWA
|
|
steven mrumah
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
jamani matokeo yamekuwa yakufuatwa ughaibuni au ni ya hapa hapa kwetu
|
|
frank prosper
Satellite Provider
|
msiofu vijana kwani wote mmepita
|
|
jacquelyne maureen kamara
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
hongeren nyote mliofaulu na pole kwa wote mliofeli msikate tamaa ndo maisha kunakupanda na kushuka kufaulu na kufeli.asiependa kushindwa c mshindaji, Ila baraza la mitihani ckuizi niwizi mtupu wanaangalia shule zilizozoea kushinda ndo wanawasaishia poa,ila kayumba na zisizojulikana inakula kwao,nashauri baraza la mitihani liwe makin wkt wakusahisha kila m2 anasoma kwa jasho nauwezo wake miaka 4 shule c mchezo jaman wajali utu na co pesa!?? siku zote wapende haki na co zuluma hakuna ki2 kibaya kama jozi la m2 yaaan m2 aangushe machozi nakuumia kwaajili yako!laana ndo zinapoaziaga:KUWENI MAKIN WAKATI WAKUSAHISHA JAMAN!!!!!!!!!!
|
|
Aisha
Doha, Qatar
|
Naomba matokeo ya Asya Moh'd salim skuli ya biashara computer science znz(unguja) ya 2011
|
|
JUMA ALMASI
Satellite Provider
|
hivi kwa nini matokeo hamuyaweki hewani?
|
|
Bakari Saidi
Nairobi, Kenya
|
Ae! Tuleteeni hayo matokeo hala ,kwani ,wahenga na wahenguzi wali nena: Mbaazi akishindwa kuzaa,husingizia jua.
|
|
Jasmini
France
|
Jamani labda wenzangu mmeyaona!!!!!!!!!! watupe password ya kuingilia tuyaone,
|
|
bob mapesa
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
|
|
|
Casto Mlingi
Satellite Provider
|
Necta boresheni uduma zenu kwenye hii website yenu
|
|
FRED ARON
Satellite Provider
|
Sasa bora kuanza drs la saba bungo prmry moro
|
|
Tell me when this thread is updated:
(Registration is not required)
Add to my Tracker
Send me an email
|